Mtandao wa wizi wa magari baada ya majambazi kulenga sehemu za kipekee za magari

  • | NTV Video
    1,118 views

    kiwa unaagiza magari kutoka nje, au una duka la maonyesho ya magari, shehena yako itakuwa salama kiasi gani mara inapoingia bandarini mombasa? kundi la majambazi wanaolenga sehemu za kipekee za magari linazua taharuki miongoni mwa maduka hayo katika maeneo mbalimbali nchini huku biashara hizo zikiachwa kuhesabu hasara kutokana na wizi huu mkubwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya