Wakenya wazidi kuhangaika kupata matibabu katika hospitali za umma kupitia bima mpya ya SHA

  • | Citizen TV
    587 views

    Wakenya Wanazidi Kuhangaika Kupata Matibabu Katika Hospitali Za Umma Kupitia Bima Mpya Ya Sha. Huko Mombasa, Katika Hospitali Ya Makadara, Baadhi Ya Wagonjwa Kutoka Kaunti Jirani Wamelazimika Kurudi Nyumbani Kutokana Na Changamoto Za Mpango Huo.