- 237 views
Katika sherehe hizo za kuapisha kwa naibu wake Kithure Kindiki rais William Ruto kwa mara ya kwanza na kwa kukiri alizungumzia suala la kupotea kwa watu kiholela, suala ambalo limekuwa chanzo cha hofu kubwa miongoni mwa wananchi. Rais Ruto alisisitiza kwamba ni wajibu wa idara ya upelelezi wa jinai (DCI) kuhakikisha wanachunguza kesi hizi kwa makini ili kurejesha imani na usalama ambao ulikuwepo kabla ya kutokea kwa matukio hayo.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Rais Ruto azungumuza kuhusu utekajinyara nchini kwa mara ya kwanza
- - Duniani Leo ››
- - K24TV LIVE ››
- 26 Nov 2024 - 'Brake The Blade': Nationwide campaign launched to combat FGM
- 26 Nov 2024 - Top banks build Sh230b war chest for bad loans amid economic gloom
- 26 Nov 2024 - Motion to revoke voting rights of nominated MCAs causes storm
- 26 Nov 2024 - Kendu Bay: Sleepy fishing town that no lender will bank on
- 26 Nov 2024 - The perils of State-induced economic uncertainty
- 26 Nov 2024 - Why Kenya's export strategy needs more effort to grow markets
- 26 Nov 2024 - Omtatah has won many battles, but can he win the Presidency?
- 26 Nov 2024 - His private secretary says trouble began after Ruto was booed at a Catholic church two weekends ago in Embu.
- 26 Nov 2024 - Meet Alice Kinyua, the former corporate lawyer who's won justice for 930 sexual violence survivors in coastal Kenya
- 26 Nov 2024 - Critics warn the 19 proposed agricultural laws could disrupt sector and worsen hunger. The Bills, among others, introduce additional certifications and levies at every stage of production