Wagonjwa katika kaunti ya Samburu walazimika kulipia matibabu huku SHA ikiwahangaisha

  • | Citizen TV
    161 views

    Utata unazidi kuzingira bima mpya ya afya - SHA- baadhi ya wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Samburu wakilazimika kulipa pesa taslimu ili kugharamia matibabu kabla ya kutibiwa. Haya yanajiri huku wanaougua maradhi sugu wakitibiwa na maelezo yao kunakiliwa kutokana na kufeli kwa mitambo. Bonface Barasa na taarifa hiyo.