KRA yatumia teknolojia ya sasa kuimarisha ukusanyaji ushuru

  • | KBC Video
    64 views

    Wizara ya fedha inalenga kuongeza kiwango cha ulipaji kodi kutoka kiwango cha sasa cha asilimia 70 hadi angalau asilimia 90 katika mwaka wa fedha wa 2026/2027. Haya ni kwa mujibu wa mpango wa tisa wa kitaasisi, wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru hapa nchini KRA uliozinduliwa jana, na ambao unalenga kupanua wigo wa ulipaji kodi kuhakikisha usawa, kuboresha usaidizi kwa wateja kupitia michakato rahisi ya ulipaji ushuru na kutumia mabadiliko ya kidijitali ili kuafikia ufanisi mkubwa. Rais Ruto aliyeongoza uzinduzi huo katika ikulu ya Nairobi, alitoa wito kwa mashirika kushirikiana kikamilifu na KRA katika kuimarisha uhamasishaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive