Wagonjwa wa saratani waiomba serikali ihakikishe dawa muhimu zinapatikana katika hospitali za umma

  • | K24 Video
    8 views

    Huku dunia ikiadhimisha siku ya saratani, wagonjwa wa saratani hapa nchini wanaiomba serikali ihakikishe dawa muhimu zinapatikana katika hospitali za umma. vilevile wametaka bima ya afya ya jamii iangaliwe upya ili kupunguza matatizo ya mara kwa mara yanayotishia maisha ya wagonjwa walio katika hali ya hatari.