IEBC yasema kuwa uainishaji wa mipaka hautaweza kufanyika kabla ya uchaguzi ujao

  • | K24 Video
    23 views

    Tume ya uchaguzi nchini, IEBC, sasa inasema kuwa uainishaji wa mipaka hautaweza kufanyika kabla ya uchaguzi ujao. Afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo Marjan hussein amesema hayo akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu haki na sheria. Tume hiyo inahitaji zaidi ya shilingi bilioni nne kufanikisha shughuli tofauti kabla ya uchaguzi wa 2027.