Mamlaka ya SHA yabaini hitilafu katika majina ya vituo na maelezo ya benki

  • | K24 Video
    5 views

    Mamlaka ya afya ya jamii (SHA) imebaini hitilafu katika majina ya vituo na maelezo ya benki kuwa changamoto kuu zinazosababisha ucheleweshaji wa malipo kwa baadhi ya vituo vya afya, aidha, SHA imeeleza wasiwasi kuhusu kutosajiliwa kwa wategemezi wakati wa mchakato wa usajili wa mfuko wa bima ya afya, jambo ambalo linaweza kuzuia upatikanaji wa bima ya afya kwa kina.