Viongozi kutoka kaskazini mashariki mwa Kenya wapinga vikali matamshi ya Kalonzo na Natembeya

  • | K24 Video
    17 views

    Viongozi kutoka kaskazini mashariki mwa Kenya wamepinga vikali matamshi ya kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kuhusu kulegezwa kwa masharti ya kupata vitambulisho kwa wakazi wa eneo la kaskazini mwa nchi. Wabunge hao wanasema hawatakubali kutengwa tena na wanawatuhumu viongozi hao kwa kutoa matamshi ya uchochezi.