Familia moja mjini Mombasa yalilia haki ya kijana wao aliyetekwa nyara na kupatikana amelawitiwa

  • | K24 Video
    227 views

    Familia moja mjini Mombasa yalilia haki ya kijana wao aliyetekwa nyara na kupatikana amelawitiwa na kutupwa katika jaa la Mwakirunge lililoko kaunti ya Mombasa .Kulingana na familia wakiongozwa na dadake, mwanaharakati huyo wa maswala ya kijamii na utawala bora kupitia mitandao ya kijamii wa rika la Gen-Z alitekwa nyara jumatano na kupatikana jaani akiwa amedhulumiwa. sasa familia inataka idara ya polisi iwakamate wahusika.