Wandani wa Rais watetea makubaliano baina yake na Raila Odinga

  • | K24 Video
    133 views

    Wandani wa rais William Ruto hii leo wametetea makubaliano baina ya rais William Ruto na Raila Odinga wakisisitiza kuwa ni njia pekee ya kutastawisha uchumi wa taifa sawa na kuhakikisha amani nchini. Wakizungumza katika kaunti ya Uasin Gishu, viongozi hao wametetea michago kanisani huku wakimsaza aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kwa kile walichokitaja kama kueneza siasa za ukabila