Askofu Sapit awakataza wanasiasa kuzungumza kanisani

  • | K24 Video
    267 views

    Askofu wa kanisa la ACK Jackson Ole Sapit hii leo aliwakataza wanasiasa wakiwemo aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kuzungumza kanisani. Sapit anadai kuwa taifa limegeuzwa kuwa uwanja wa siasa tangu uchaguzi wa wa 2022 kukamilika na hatokubali kanisa la ACK kugeuzwa kuwa zjukwaa la kisiasa. lhali wakenya wanahitaji huduma kadhaa. Sapit sasa amepiga marufuku wanasisa kuhutubu kwenye makanisa yote ya ack nchinini