Waziri Duale na mwenzake Hassan Joho waendeleza kampeni za kumpigia debe rais William Ruto Pwani

  • | K24 Video
    47 views

    Waziri wa mazingira Aden Duale na mwenzake wa madini na uchumi samawati Ali Hassan Joho wameendeleza kampeni za kumpigia debe rais William Ruto Pwani mwa kenya huku wakizirai jamii zilizokua zikikubwa na changamoto ya kupata kitambulisho kutumia agizo la marufuku ya ukaguzi iliotolewa na rais kuchukua vitambulisho ili kutambulika kama wakenya na kushiriki katika zoezi la uchaguzi huku wakilenga kusajiliwapiga kura milioni 3 kuziba mwanya wa ufuasi wa kiasi kwa rais Ruto ambao huenda umesababishwa na upinzani unaoshuhudiwa katika eneo la Mlima Kenya.