Nyoro aitaka serikali ishughulikie maslahi ya Wakenya

  • | K24 Video
    100 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bajeti ameungana na wakenya ambao wanalalamikia jinsi Kenya Kwanza inavyoongoza serikali. Nyoro ambaye amekuwa mkereketwa wa sera za serikali ya Kenya Kwanza amekosoa mfumo wa ushuru wa serikali, huku akitaja kuwa kila mwaka serikali inabuni bajeti kubwa ambayo haiangazii maslahi ya wakenya na maendeleo ya nchi.