Chama LSK chalalamikia ukosefu wa uwazi na haki katika idara ya mahakama

  • | K24 Video
    72 views

    Chama cha mawakili nchini, LSK, kimelalamikia ukosefu wa uwazi na haki katika idara ya mahakama. Wakiongozwa na rais Faith Odhiambo, chama hicho kimeitaka idara hiyo iwajali wananchi zaidi wakidai kuwa wakenya wamepoteza imani na mahakama. Mawakili hao pia wamelalamikia suala la utekaji nyara sio tu kwa wakenya bali pia kwa raia wa kigeni nchini.