2025 Waziri wa Michezo Salim Mvurya asema Kenya iko tayari kwa mashindano ya WRC Safari Rally

  • | TV 47
    15 views

    Waziri wa Michezo Salim Mvurya asema Kenya iko tayari kwa mashindano haya.

    Zimesalia siku saba kabla ya mbio hizi kufanyika Nairobi, Naivasha.

    Kenya itawakilishwa na madereva 18 katika mbio hizi.

    Mashindano haya yatafanyika mwezi huu kuanzia tarehe 20-23.

    Madereva wa kigeni waanza kutua nchini.

    Kiongozi wa mwaka huu Elfyn Evans kushiririk Safari rally.

    Bingwa mara mbili wa WRC Kalle Rovanperä Kushiriki.

    Thierry Neuville, Ott Tänak, Adrien Fourmaux kushiriki.

    #TV47Matukio @joshonsare @duncoaskofu_

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __