Dawa ambayo huenda ndio ghali zaidi ulimwenguni ndiyo tumaini pekee kwa Jamari Kiama

  • | K24 Video
    31 views

    Dawa ambayo huenda ndio ghali zaidi ulimwenguni ndiyo tumaini pekee kwa Jamari Kiama mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 7 ambaye ana ugonjwa wa spinal muscular atrophy aina ya kwanza. Katika makala ya siha yangu, sma 1, ni ugonjwa wa kurithi ambao huchukua maisha ya watoto wengi ulimwenguni kuliko ugonjwa wowote wa kijenetiki.