90% ya wanafunzi wa shule ya Kitaifa ya Kenyatta iliyoko mwatate wafuzu kujiunga na vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    654 views

    Asilimia 90 ya wanafunzi wa shule ya Kitaifa ya Kenyatta iliyoko mwatate kaunti ya Taita Taveta wamefuzu kujiunga na vyuo vikuu . Wanafunzi 10 walipata Alama ya A katika mtihani wa kcse 2024. Keith simiyu ameizuru shule hio na anaarifu zaidi