Abiria wa bodaboda afariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya barabarani Bungoma

  • | Citizen TV
    228 views

    Mtu mmoja amefariki huku wengine watatu wakiendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya bungoma baada ya kuhusika kwenye ajali ya babarabani kwa pikipiki eneo la konambaya huko mulatiwa eneobunge la mlima elgon kaunti ya bungoma