Adamson Bungei: Polisi hawakuhusika na mauaji ya Rex Maasai

  • | K24 Video
    513 views

    Aliyekuwa kamanda wa polisi wa Nairobi, Adamson Bungei, amekana madai kuwa polisi walihusika kwenye mauaji ya Rex Masai. Bungei, akifika mbele ya jaji Geoffrey Onsarigo kwenye mahakama ya Milimani alidai kuwasio maafisa wa usalama tu wanaomiliki bunduki nchini huku akikanusha kupokea amri yoyote maalum ya kuhusisha polisi kwenye maandamano hayo ya wanarika wa Gen