Afisa mkuu mpya wa tume ya NCIC aapishwa

  • | KBC Video
    111 views

    Katibu na afisa mkuu mtendaji mpya wa tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano NCIC, Dkt. Daniel Mutegi Giti, amechukua hatamu rasmi leo baada ya kuapishwa. Jaji mkuu Martha Koome aliyeongoza hafla hiyo, alikariri kujitolea kwa idara ya mahakama kuisaidia tume ya NCIC kutekeleza wajibu wake. Alisisitiza tume hiyo ina jukumu muhimu la kusalia makini na dhabiti, katika kukuza amani, mshikamano na umoja wa kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News