Afisa mkuu wa KWS na DCI watarajiwa kufika mahakamani kuelezea aliko Brian Odhiambo

  • | Citizen TV
    5,274 views

    Afisa mkuu wa mbuga ya wanyama pori ya Nakuru na mkuu wa kitengo Cha upelezi wa jinai eneo la Nakuru mashariki hii Leo wanatarajiwa kufika mahakamani kuelezea aliko Brian Odhiamboambaye anadaiwa kupigwa na kukamatwa na maafisa wa huduma za wanyamapori katika mbuga ya ziwa la Nakuru. Hakimu Julius Nangea aliwaamrisha maafisa hao kumwasilisha Brian Odhiambo mahakamani akiwa hai au la.