Afrika itaathirika vipi na ushuru wa Trump?

  • | BBC Swahili
    2,771 views
    Masoko ya hisa ya kimataifa - ikiwa ni pamoja na Marekani - yameporomoka kutokana na mpango wa Rais Donald Trump wa ushuru wa jumla wa asilimia kumi kwa bidhaa zote zinazoingia Marekani, na viwango vya juu zaidi vya ushuru kwa bidhaa kutoka nchi ambazo Rais Trump anazishutumu kwa "kuipora" Marekani. Bei ya mafuta pia imeshuka.