- 1,062 viewsUmoja wa Afrika umefanya marekebisho kuhusu kanuni za uteuzi wa mwenyekiti wa tume ya umoja huo na kutoa fursa ya moja kwa moja kwa jumuiya ya Afrika Mashariki kushikilia nafasi hiyo muhimu kwenye uongozi wa bara la Afrika. Kenya imemtangaza kiongozi wa upinzani Raila Odinga kugombea nafasi hiyo, na imeanza kampeni. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Afrika Mashariki yapewa fursa ya kuwania uwenyekiti wa Umoja wa Afrika | VOA Swahili
- 29 Nov 2024 - Angry residents of Syokimau/Mlolongo Ward on Thursday forced their MCA to wade through muddy roads in a bid to show the deplorable state of the estate.
- 29 Nov 2024 - Leaders allied to former DP Rigathi Gachagua on Thursday evening visited the DCI headquarters on Kiambu Road in a bid to demand for quick probe into chaos that were witnessed earlier in the day during a burial in Limuru.
- 29 Nov 2024 - Former Standard Group employees are demanding payment of their salary arrears and SACCO savings, accusing the media house of failing to honor their redundancy and severance pay commitment after laying them off.
- 29 Nov 2024 - Savannah Clinker Chairman Benson Ndeta will spend the night in police custody after he was arrested on allegations of forgery, conspiracy to defraud, and uttering false documents.
- 28 Nov 2024 - The Ministry of Mining, Blue Economy and Maritime Affairs is looking to have critical minerals in Kenya help strengthen and unlock the business opportunities for a sustainable future.
- 28 Nov 2024 - The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) has cited ongoing court battles as the primary reason for the delays in reconstituting the electoral body, which has hindered the commission’s ability to conduct pending by-elections and…
- 28 Nov 2024 - In a bid to forestall the looming doctors strike, Medical Services PS Harry Kimtai has called on KMPDU to allow intern doctors resume work, and accept the offer by government to pay them Ksh.70,000.
- 28 Nov 2024 - Former Deputy President Rigathi Gcahagua has spoken out about a Thursday incident that forced him to flee a funeral service in Limuru, Kiambu County after goons disrupted the event and indiscriminately attacked mourners.
- 28 Nov 2024 - Both houses of Indian parliament were suspended temporarily on Thursday within minutes of opening as opposition lawmakers disrupted proceedings for the third day this week seeking a discussion on allegations against the Adani Group.
- 28 Nov 2024 - The role of collaboration between parents, teachers, and audiology experts in supporting deaf children was underscored during the second day of the Africa Conference on Deafness held in Nairobi.