Afueni Isiolo : Wakazi wa Bulapesa wafurahia ukarabati wa barabara

  • | KBC Video
    20 views

    Wakazi wa mtaa wa mabanda ya Bulapesa kaunti ya Isiolo wamesifia serikali ya kaunti hiyo kwa kukarabati barabara ya umbali wa kilomita-6 inayounganisha eneo la Buladesa na mji wa Isiolo. Wakiongozwa na afisa mzee wa eneo la Bula Salama, Yarei Mohamed, wakazi hao walisema barabara hiyo ilikuwa imesahaulika kabisa. Mohamed alisema barabara hiyo haikuiwa ikipitika wakati wa msimu wa mvua huku wakazi wakitatizika kufikia vituo vya matibabu na soko kuu la Isiolo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive