Afueni kwa madereva baada ya barabara ya Dongo Kundu kufunguliwa

  • | K24 Video
    17 views

    Ni afueni kwa madereva wanaotumia kivuko cha Likoni Mombasa baada ya barabara ya dongo kundu kufunguliwa. Hatahivyo ni wenye magari madogo pekee wanaoruhusiwa kutumia barabara hiyo kwa sasa.