Afueni kwa wagonjwa baada ya serikali kutoa shilling billion 4.5 kwa SHA

  • | KBC Video
    78 views

    Ni afueni kwa wagonjwa waliochini ya mpango wa SHA ambao hawana ajira, baada ya serikali kuwaondolea sharti la malipo ya papo hapo. Haya yamesemwa na katibu wa huduma za afya Harry Kimutai ambaye amesema uamuzi huo utafanikisha utekelezaji wa mpango huo bila tatizo lolote huku akitangaza kuundwa kwa kamati maalum inayojumuisha maafisa wa serikali kuu na zile za kaunti kusaidia katika kuangazia changamoto ibuka za utekelezwaji wa mpango huo. Aidha katibu huyo amesema zaidi ya wakenya milioni 13.3 wamejisajili kwa mpango huo, na jinsi anavyoripoti mwanahabari wetu Kasichana Masha, tayari serikali imetoa shilingi bilioni 4.5 kwa ajili ya bili za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive