Afya Yako: Idadi ya wagonjwa wa Glakoma inaripotiwa kuongezeka

  • | NTV Video
    277 views

    Huku ulimwengu ukiendelea kuadhimisha siku ya ugonjwa wa glaucoma duniani, idadi ya wanaougua ugonjwa huu inaongezeka kila uchao. Ugonjwa huu husababishwa na shinikizo linaloongezeka katika jicho. Shinikizo hilo husababisha uharibifu wa mishipa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya