Aga Khan wa nne, mwanzilishi wa NMG, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 88

  • | NTV Video
    1,026 views

    Mwanzilishi wa shirika la Nation Media Group chini ya Aga Khan Development Network mtukufu Aga Khan wa nne ameaga dunia. Aga Khan ambaye ni kiongozi wa 49 wa dini ya kiislamu ya wa Shia Ismaili ameaga dunia nchini ureno akiwa na umri wa miaka 88.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya