- 8,900 viewsDuration: 2:09‘Mtu hataruhusiwa kunywa pombe bila ya kuwa na leseni rasmi ya ulevi’ hii ni moja ya ahadi tata iliyotolewa na mgombea urais Zanzibar Mwandishi wa BBC @Elizabeth Kazibure anatueleza ahadi 5 tata za wagonbea urais visiwani Zanzibar - - #bbcswahili #zanzibar#siasa #uchaguzi2025