Ahadi za Rais Ruto | Part 1 | Ukumbi - Sema na Citizen

  • | Citizen TV
    1,439 views

    Rais Ruto azidi kutoa ahadi nyingi kwenye ziara zake huku Nairobi, licha ya ahadi za awali alizotoa kusalia kutekelezwa

    Sema Na Citizen - Ukumbi

    Wageni : Tim Wanyonyi - Mbunge Westlands : Mwanaisha Chidzuga - Naibu msemaji wa serikali : Dkt. Peter Mbae - Aliyekuwa mkuu, huduma za serikali : Alpha Miruka - Mbunge, Bomachoge