Ahadi za Rais Ruto | Ukumbi | Sema na Citizen | Part 2 |

  • | Citizen TV
    1,069 views

    Masuali yameibuka kuhusu bajeti ya ahadi zinazotolewa huku wakenya wamelalamika kuwa ahadi nyingi hazijatekelezwa

    Sema Na Citizen - Ukumbi

    Wageni : Tim Wanyonyi - Mbunge Westlands : Mwanaisha Chidzuga - Naibu msemaji wa serikali : Dkt. Peter Mbae - Aliyekuwa mkuu, huduma za serikali : Alpha Miruka - Mbunge, Bomachoge