Ajali ya Barabarani Kericho: Watu wawili zaidi wafariki na kufikisha idadi ya waliofariki kuwa 15

  • | KBC Video
    72 views

    Watu wawili wamefariki kutokana na majeraha waliopata na kufikisha idadi ya waliofariki kuwa 15 katika ajali iliotokea jana kwenye barabara ya Kaplong kuelekea Kericho. Watu wengine kumi na wanne waliojeruhiwa wanapokea matibabu katika vituo mbali mbali vya matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive