Ajali ya Bomet

  • | Citizen TV
    586 views

    Mtu mmoja alifariki papo hapo huku mwingine wakipata majeraha mabaya kufuatia ajali mbaya eneo la Silibwet jana jioni kwenye barabara ya Bomet-Litein kaunti ya Bomet.