Alama kubwa alizoacha Papa Francis

  • | BBC Swahili
    863 views
    “Alama kubwa aliyoiacha ni namna alivyoshikama na maskini na alivyoonesha mshikamano baina ya binadamu na binadamu” - Fr.Charles Kitima akimzungumzia aliyekuwa kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis aliyefariki dunia huko Vatcan #bbcswahili #vatcan #KatolikiTanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw