Alex Iwobi egeuka Santa London

  • | BBC Swahili
    200 views
    Alex Iwobi: Nyota wa Fulham na Nigeria egeuka Santa na kugawa vyakula Krismasi Alex Iwobi anasherehekea sikukuu ya Krismasi huko London kwa namna ya kipekee, amekuwa akitoa chakula cha bure, ikiwa ni pamoja na batamzinga, kwa wakazi wa eneo hilo wanaoshindwa kununua chakula kwa ajili ya Krismasi. #bbcswahili #london #krismas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw