Alifariki baada ya kujeruhiwa kwenye operesheni

  • | Citizen TV
    2,377 views

    Afisa mmoja wa polisi kutoka Kenya ameaga dunia nchini Haiti kwenye operesheni katika mji wa Segur Savien ulioko takriban kilomita mia mbili kutoka jiji la Port au Prince