Aliyekuwa gavana wa Nyandarua apigwa faini ya Sh1m kwa makosa ya matumiz mbaya ya ofisi

  • | NTV Video
    503 views

    Aliyekuwa gavana wa Nyandarua Daniel Waithaka na waziri wa maji kwenye kaunti hiyo Grace Gitonga, wamepigwa faini ya shillingi millioni moja au kifungo cha miaka 2 gerezani kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi baada ya kuikabidhi kampuni ya wahandisi ya tahal kutoka israel zabuni ya shillingi milllioni 50 bila kufwata utaratibu wa ununuzi mnamo mwaka wa 2014.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya