Aliyekuwa kamanda wa polisi Nairobi atoa ushahidi

  • | Citizen TV
    16 views

    Aliyekuwa Kamanda wa polisi Nairobi, Adamson Bungei, amesema kwamba hakuhusika kwa vyovyote katika mauaji yanayodaiwa kufanywa na polisi wakati wa maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen Z mwaka jana