Aliyekuwa karani wa bunge la kaunti ya Nyamira arejea kazini kwa lazima

  • | Citizen TV
    216 views

    Wakati ho huo, mzozo wa uongozi unaoendelea katika bunge la kaunti ya Nyamira unatazamiwa kuzorota zaidi baada ya karani aliyetimuliwa ofisini Daniel Orina kurejea na kudai kuwa karani halali wa bunge hilo.