Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa mbunge wa Likuyani Enock Kibunguchi ahamia DAP-K

  • | Citizen TV
    6,741 views
    Duration: 1:48
    Kinara wa chama cha DAP-K Eugene Wamalwa amesema kwamba muungano wa upinzani utashinda serikali ya Kenya Kwanza katika uchaguzi wa mwaka wa 2027.