Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya KNCHR Roseline Odede aaga dunia

  • | KBC Video
    72 views

    Mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu-KNCHR Roseline Odhiambo Odede ameaga dunia. Naibu mwenyekiti wa tume hiyo Dk. Raymond Nyeris alisema Odede alifariki jana baada ya kuugua kwa muda mfupi. Nyeris aliomboleza kifo chake akisema ni pigo kubwa kwa tume hiyo na taifa kwa jumla. Rais William Ruto ni miongoni mwa viongozi waliotuma jumbe zao za faraja kumuomboleza marehemu Odede kama mtetezi shupavu wa haki za binadamu na mwanaharakati mashuhuri aliyepigania usawa na haki katika jamii.Timothy Kipnusu anaarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive