Aliyekuwa naibu rais Gachagua adokeza muungano na Wiper

  • | Citizen TV
    5,590 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa amedokeza uwezekano wa kubuni muungano wa kisiasa na chama cha Wiper kinachoongozwa na Kalonzo Musyoka. Gachagua akisema kuwa eneo la Mlima Kenya litarejesha mkono kwa wiper kwa kumtetea alipokuwa aking'atuliwa serikalini.