Alphine Chepkorir amekosa kujiunga na chuo kikuu kwa kuwa mlemavu

  • | Citizen TV
    520 views

    Hatma ya elimu kwa mwanafunzi mlemavu Alphine Chepkorir imesalia kwenye njiapanda baada ya kukosa karo, licha ya kufanya vyema kwenye mtihani wake wa kidato cha nne. Alphine amesalia kufanya majukumu ya nyumbani, kwani aliorodheshwa na jopo na vyuo vikuu kujiunga na chuo cha kibinafsi ambacho hakina nafasi ya kuishi shuleni kutokana na hali yake.