Amadi ajitetea kuhusu sakata ya dhahabu

  • | Citizen TV
    72 views

    Aliyekuwa msajili wa mahakama Anne Atieno Amadi amejitetea kuhusu tuhuma za ulaghai kwenye sakata ya dhahabu iliyosababisha akaunti zake za benki kusimamishwa