Anasa katikati ya bomba la moshi akitoroka polisi

  • | BBC Swahili
    72 views
    Mwanamume mmoja huko Fall River, Massachusetts, ambaye alikuwa akiwamkimbi polisi na kutoroka kupitia paa ameokolewa baada ya kukwama kwenye dohani la moshi. Picha za kamera kutoka Idara ya Polisi ya Jiji la Fall River nchini Marekani zinaonesha polisi wakimkamata Robert Langlais mwenye umri wa miaka 33 kabla ya kuomba msaada kutoka kwa idara ya zima moto ili kumkomboa. Mtu huyo alipelekwa hospitali na baadaye alishikiliwa kwa tuhuma za dawa za kulevya. #bbcswahili #marekani #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw