Asiya Abdalla ni muuguzi katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    107 views

    Asiya Abdalla ni muuguzi aliyehudumu kwa zaidi ya miaka 30 katika sekta ya uzazi. Yeye hujitolea kwa dhati kusaidia wanawake wajawazito kujifungua salama. Hivi sasa, Asiya ni msimamizi wa kitengo cha uzazi katika Hospitali Kuu ya King Fahad, Kaunti ya Lamu.