"Askari walikuwa tayari kusaidia mbwa kuliko mimi"

  • | BBC Swahili
    1,097 views
    BBC imezungumza na baadhi ya wanachama wa CHADEMA waliohudhuria mahakama Aprili 24 nakueleza maswaibu yaliowakuta kutoka kwa jeshi la polisi Tanzania. Hadi sasa, polisi haijatoa taarifa kuhusu madai ya kupigwa na kuteswa kwa wanachama wa CHADEMA. #chadema #tanzania #SIASA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw