Askofu Simon Peter Kamomoe aitaka serikali kumakinika

  • | Citizen TV
    427 views

    Askofu wa kanisa katoliki jimbo la Nairobi Simon Peter Kamomoe ameitaka wizara ya elimu kutoa mwelekeo kamili kuhusiana na hatma ya wanafunzi wa gredi ya tisa.