Askofu wa Butere ACK asema wanahitaji ushauri nasaha

  • | Citizen TV
    586 views

    Shughli za kawaida zilirejea jijini nakuru kwenye tamasha ya kitaifa ya michezo ya kuigiza, siku moja baada ya kizaazaa kushuhudiwa baada ya wanafunzi wa shule ya upili ya wasichana ya butere kutupiwa vitoa machozi na kususia kushiriki maonyesho hayo kwa madai ya kunyanyaswa